Airtel mitandao yenu inazengua Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mitandao yenu inazengua Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, May 30, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Huko Arusha Kumetokea na kituko kimmoja cha ajabu mtu anaongea kwa kutumia mtandao wa AirTel ghafla simu yake imekatika na kuja kucheki anakutana ma message inasema SIM CARD REGISTRATION FAILED alafu kwa eneo la Network unakutana na alama ya 3D na ukiswap card(I mean kununua card mpya) ina fanya kazi within a short time of 2mins then inakutoa kwa mtandao.

  Tatizo mpaka sasa halijajulikana sasa hatujui IT-Department huko AIRTEL wameshindwa gundua hilo au nini chanzo

  Je Tuhamie mitandao mingine?
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  siyo arusha tu hata hapa dar ni taabu
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  OOOOOOOoghassshhhhhh,

  Poleni sana kumbe hata huko tatizo limewakumba sasa sijui hawa jamaa wanajua kutokuwa na mawasiliano simu ni tatizo au lapoteza kipato chako cha kila siku Incase simu ndio inakufanikishia kuingiza kwa mapato yako inakuwaje hapo hadi sasa mtandao haujarudi?

  Alafu kesho watuambie tu sajiri tena.

  Haya makampuni ya kuhamisha wanunuzi au wamiliki tokea Celtel, Zain,na sasa AirTel kweli serikali yetu haiko makini katika hili mambo ya Technicality ndio huwa yapo ila kwa hili la AirTel tokea wamechukuwa mitambo ni hovyo kila kitu hawa wahindi sijui hata kama wanaweza ku run hiyo kampuni sijui walikuwa wanatafuka Political Economy kwa nguvu huku Afrika au ni nini?

   
Loading...