dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
Mi nimeamia zantel mb150
sh1500 kwa mwezi piga *149*07#.
Modem yao wanauza sh ngapi?Mi nimeamia zantel mb150
sh1500 kwa mwezi piga *149*07#.
Mi nimeamia zantel mb150
sh1500 kwa mwezi piga *149*07#.
huna pesa ya kununua subiri ununuliweModem yao wanauza sh ngapi?
Modem yao wanauza sh ngapi?
TTCL kitu gani bana....jaribu S.L.B uone speed yake...balaaa!!Hivi TTCL wako vipi.........?
Mi nimeamia zantel mb150
sh1500 kwa mwezi piga *149*07#.
TTCL kitu gani bana....jaribu S.L.B uone speed yake...balaaa!!
wana jf.
mnapigia promotion makampuni ya cm au ndio mnawakirisha kero zenu ?. . .
Zantel ni better kuliko hao wengine,hata kwenye speed haina mpinzani,Ile bronze package ni 600 mb kwa mwezi mzima,sh 4000 tu.
huna pesa ya kununua subiri ununuliwe