Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Du jamani bora ya Airtel ni the chipper sana 500/ unapata 20mb 2,500/ 400mb bado kuna bonas leo ndo nimekuta kumbe watu wengi humu JF wanasurf usiku kuanzia saa 6.00 nimekuta watumiaji zadi ya 4554 na zote ni hizo baadhi bundle za Bonus za Airtel
SIHAMI ZAIN
SIHAMI ZAIN