Mkuu wacha nijaribu hii kitu....will let you know!:dance:dawa ya tatizo hilo ni hili:
nenda TOOLS>OPTIONS>NETWORK>NETWORK TYPE:chagua WCDMA only> BAND> chagua GSM 900/GSM1800/WCDMA2100
kisha APPLY then OK
tatizo limekwisa!
ukifanikiwa ni PM ili nijue.
dawa ya tatizo hilo ni hili:
nenda TOOLS>OPTIONS>NETWORK>NETWORK TYPE:chagua WCDMA only> BAND> chagua GSM 900/GSM1800/WCDMA2100
kisha APPLY then OK
tatizo limekwisa!
ukifanikiwa ni PM ili nijue.
Anayejua vipimo vya speed kwa kila Mtandao(mps) naomba anijulishe kwani ninaitaji lakini sijui nichukue ya mtandao gani.
Ukiweka credit unatumia muda mrefu lakini usizime computer. Ukizima computer unapokuja kuwasha na kulog in inakula balance yote iliyokuwa imebaki hata kama ni nyingi kiasi gani. Lengo lao ni kila ukiwasha computer na kulog in ujaze vocha mpya.
Lakini pia kasi ya connection yao inakuwa slow mno kiasi kwamba unaweza kutumia masaa tano kufanya kazi ya saa moja.
inaudhi, inachelewesha, inakera sana
Kwa kweli jinsi airtel ilivyokuwa inasifiwa humu kwenye mtandao na mimi nikaona ni vyema nijiunge na nikaanza na ya wiki moja. La haula baada ya wiki moja nimerudi zantel fasta kwani kudownload file moja linachukuwa masaa mpaka nasahau kabisa.