Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Voda ni Wazuri kwa Maspeed ya Ukweli. Ila kuna kitu cha Unlimited "PDPROXY" hapo kabla sikuwahi kuangalia Yuotube kwa vibandle vyangu vya kulenga kwa Manati until when Njunwa Gave me this peace of Mind Pdproxy. Saivi hata Msamiati nsioujua nafungua Youtube ili nijufunze kwa kuona rather than reading.
Juzi nlienda TTCL kulipia Broadband yangu ya nyumbani, nkanunua kavocha cha buku 10 ambacho kinaniwezesha kuangalia D*tv zaid ya hata miezi Mitatu,wakanishangaa eti haka kavocha kanakusaidiaje!? Je Matumiz yako yakoje!? Nkawaambia hii situmii kwenye PC, kwenye PC ninayo Unlimited Net ambayo last Month nlidownload 96GB kwa 10,000 tu, akashangaa, haiwezekani bwani. Nkawaambia nyie shangaaaeni tu. Ila hii habar ikitapakaaa kote Nchini Mbona mtazifunga Ofisi zenu!? Naye akaomba nimuwezeshe kujiunga vile vile.
Wajinga ndio waliwao!!!!!Hivi bado unaendelea kuhangaika na ziko bundle hadi leo mi nilishasahau mambo ya bundle natumia internet with unlimited speed hadi 2mb/s just for 10000/ per month mtafute Mwl R T C au njunwa wa mavoko kwenye jukwaa watakupa details .....au google Pd proxy or tunnel guru
Voda ni Wazuri kwa Maspeed ya Ukweli. Ila kuna kitu cha Unlimited "PDPROXY" hapo kabla sikuwahi kuangalia Yuotube kwa vibandle vyangu vya kulenga kwa Manati until when Njunwa Gave me this peace of Mind Pdproxy. Saivi hata Msamiati nsioujua nafungua Youtube ili nijufunze kwa kuona rather than reading.
Juzi nlienda TTCL kulipia Broadband yangu ya nyumbani, nkanunua kavocha cha buku 10 ambacho kinaniwezesha kuangalia D*tv zaid ya hata miezi Mitatu,wakanishangaa eti haka kavocha kanakusaidiaje!? Je Matumiz yako yakoje!? Nkawaambia hii situmii kwenye PC, kwenye PC ninayo Unlimited Net ambayo last Month nlidownload 96GB kwa 10,000 tu, akashangaa, haiwezekani bwani. Nkawaambia nyie shangaaaeni tu. Ila hii habar ikitapakaaa kote Nchini Mbona mtazifunga Ofisi zenu!? Naye akaomba nimuwezeshe kujiunga vile vile.
mkuu ivi ule uzi wako uliokua unaonyesha jinsi ya ki]ujiunga na pd-proxy(sijui kama nimekosea) unaweza uweka hapa ...nikitulia niupitie maana hawa voda sijui airtel naona balaa tupu!!!​
- Tatizo: Ukinunua kifurushi - unaingia kwenye kifungo cha speed ndogo. Hasa hasa kama umenunua kifurushi cha 'Time based' ndio balaa zaidi.
hapa nakuunga mkono shida hawa jamaa bandle zao ziko na bei kubwa....Voda ukijiunga hata na cheka net yao ina speed balaa.
Labda inategemeana na location! Kwa upande wangu nikijiunga na yatosha downloading speed inafika mpka 2mbs.
Kama ni mtumiaji wa android phones try kucreate new apn!!:amen:
Labda inategemeana na location! Kwa upande wangu nikijiunga na yatosha downloading speed inafika mpka 2mbs.
Kama ni mtumiaji wa android phones try kucreate new apn!!:amen:
Sijajua mnapata tatizo gani..maana nikiwa na download torrents, napata 200 kb/s mpaka 500 kb/s, that is during the day.
Usiku ndo usiseme, mpaka 850kb/s, ila kuna settings zakubalisha kwenye u-torrent ku-maximise speed
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
tafta open VPN mbona utamsahau wamavoko kwa muda
'inakuwa ni free kabisa mkuu au inakuwaje kaka naskia hizi za free ukitumia kama free user watumiaji wsnakuwa ni wengi mkuu kiasi kwamba servers zinakuwa loaded na hata inakuwa ni tofauti na premium user inakuwa unlimited ni kweli kiongozi...?'
Ni unlimited yaukweli ila mkijazana ndiyo majanga so kila Mwenye kujipinda kutafuta hayo madude ndo atafaidi.
Wale wa zamani wa kudeact nawaandalia uzi wao waendelee kukamua baada ya vi-Mb vya stream+download kuisha.
SIJIBU PM KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!
njunwa wamavoko Paje mwl ctr ndiyo wanhusika hapo'ila mkuu mi naomba nitoke nje ya mada kidogo nime-download java jana 32bit na 64bit na zote zinakataa wanasema ni-add java bin folder path in windows PATH System variable hivyo nashindwa kufungua tunnelguru kila nikifungua tu inaniletea msg hiyo wakati java ipo installed msaada mkuu'
Ni unlimited yaukweli ila mkijazana ndiyo majanga so kila Mwenye kujipinda kutafuta hayo madude ndo atafaidi.
Wale wa zamani wa kudeact nawaandalia uzi wao waendelee kukamua baada ya vi-Mb vya stream+download kuisha.
SIJIBU PM KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!
Sasa wewe Devil unafurahisha yaani 500*30=15,000/- nani atatoa hiyo hela afu net yake vidonda
Pili free VPN ziko na mm ndo natumia ziko fresh tu lkn server downtime nyingi sana hivo ni BORA ukanunue server yako yenye 2TB afu uinstall OpenVPN kwenye hiyo computer iliyobeba hiyo server inauzwa 6$ na mnaweza tumia hata 20 pple na bado iko stable maana port speed yake inakuwa kubwa na RAM ni 1-2GB