Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,327
Kuna huduma airtel wameanzisha ya boom club unanunu na kusajili line 2 za airtel kwa gharama ya 1000.
Sipo hapa kuwatangazia biashara ukitaka habari waulize mawakala wao. Ila ipo hivi kwa wale ambao matumizi yao ni light kama vile watumiaji wa simu wasiodownload sana baada ya kujiunga na internet ya siku ya sh 500 unaweza kununua hizi line utapata mb 10 kwa kila line yaani mb 20.
Sijaprove kama ni offer ya lifetime ila mimi nimenunua 2 weeks now na kila siku napata hizo mb buree.