Airtel facebook page hacked

Airtel facebook page hacked

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
Kuna taarifa ambazo nazitilia mashaka kama kweli zimetoka airtel.. Page yao ya facebook nahisi imeingiliwa na wahuni amabo wanaipa promo kampuni inayosema inatoa mikopo ya bei nafuu iitwayo SOCIAL CREDIT COMPANY... wameweka na video ya kutengeneza.. kwa ushahidi tembelea link hii https://www.facebook.com/airteltanzania?hc_location=stream

AIRTEL.jpg

 
Kama website ya taifa inapitiwa na hackers na ya tcu pia sasa hio ya airtel watashindwa??? Acha wajifunze na waweke wataalamu wa kompyuta na sio wana siasa
 
Kama website ya taifa inapitiwa na hackers na ya tcu pia sasa hio ya airtel watashindwa??? Acha wajifunze na waweke wataalamu wa kompyuta na sio wana siasa

Mim nahisi ku-hack fb page sio mchezo sababu ni sawa na kuhack fb in general
 
Mim nahisi ku-hack fb page sio mchezo sababu ni sawa na kuhack fb in general
ni rahisi sana, website nyingi zinakuwaga na level of access, kuna sehemu za website ni almost impossible to hack mfano database etc, ila profile pages zinakuwa hacked kila siku, ni hackable
 
Hii Mbona Ishawatokea hata watu maaarufu kibaooo... Wall zao zkapostiwaa Hii Kitu...
 
Back
Top Bottom