Nimekutana na hili bandiko Facebook!

Nimekutana na hili bandiko Facebook!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,951
Reaction score
9,468
[h=5]https://www.facebook.com/salama.jabir.96?hc_location=stream

Ninafuraha kubwa kuchaguliwa katika uongozi wa Kampuni / Taasisi ya SAVING FOUNDATION kama ilivyotangazwa rasmi usiku wa jana katika vyombo mbali mbali vya habari.

SAVING FOUNDATION ni Taasisi ya kifedha iliyoanzishwa kwa lengo la kuwasaidia watanzania masikini / wasiojiweza kimaisha kwa kuwapatia mikopo ya pesa nafuu na isiyokua na riba ili kuwawezesha katika maisha kwa dhumuni la kutokomeza umasikini.

SAVING FOUNDATION inatoa mikopo ya fedha kwa kila mtanzania bila ubaguzi wa dini mtanzania yoyote anaweza akajiunga na SAVING FOUNDATION na akapatiwa mkopo wa pesa na atalipa mkopo huo bila riba!!

SAVING FOUNDATION imezingatia misingi ya dini kwa kuepuka riba. Nimependasana walivyozingatia hili ndio mana sikusita kukubali uongozi walio nipatia katika taasisi hii kwani hakuna unyonyaji kwa mteja. Mteja anaejiunga mkopo atakaopatiwa ndio atakaolipa! Hakuna riba.

UTARATIBU WA KUJIUNGA: Mtanzania yoyote yule anaehitaji mkopo wa pesa anaruhusiwa kujiunga kwa kujaza fomu za maombi ya mkopo kupitia tovuti yao: www.savingfoundation.wapka.mobi atajaza fomu kisha atalipia malipo ya ada za uanachama Kiasi cha Tshs. 45,000 na ataupokea mkopo wake wa pesa ndani ya dakika45 bila kucheleweshewa! Mikopo inatolewa kwa kila mtanzania anaehitaji mkopo wa pesa.

WITO WANGU: Kama wewe ni Mwanafunzi unahitaji mkopo jiunge na SOCIAL CREDIT COMPANY leo, kama wewe ni mfanya biashara unahitaji kuongeza mtaji katika biashara zako au unahitaji mtaji ufungue biashara pia kama unahitaji kujenga NYUMBA, Kununua gari nakushauri jiunge leo na SAVING FOUNDATION utapatiwa mkopo wa pesa nafuu, usiokua na riba. Ada ya kujiunga ni Tsh. 45,000 tu! Kwa anaetaka kujiunga upatiwe mkopo bofya hapa: www.savingfoundation.wapka.mobi


[/h][url]http://www.savingfoundation.wapka.mobi/
www.savingfoundation.wapka.mobi

https://www.facebook.com/salama.jabir.96?hc_location=stream


[/URL]
 
Walishatangazwa hawa kwamba ni matapeli.Najua kuna wasiojua watatapeliwa.Gusa unase!
 
Macho yangu au dakika 45 unalamba mkopo na bila riba tanzania au naota nini....
 
Eti salama Jabir ndiyo kati ya viongozi wa kampuni hii sasa hajabu hawataji wako wapi unawatumia pesa kwa tigo pesa na m pesa je wao huo mkopo wanakupaje?je unarudisha je hiyo pesa na kama haina riba wao wanafaidika je?
 
...sijui ni hii pombe niliyokunywa ndio inanichanganya, maana naona vitu vya ajabu humu, subiri ninywe maji mengi af nitulie kwa muda nije nisome tena huu uzi.
 
...sijui ni hii pombe niliyokunywa ndio inanichanganya, maana naona vitu vya ajabu humu, subiri ninywe maji mengi af nitulie kwa muda nije nisome tena huu uzi.

Mkuu viroba vitakuwa punguza kwa afya yako na jua uwezi wa beer huna!
 
Dar kumbe humu kuna ajizi,nipeni mkopo alafu mukate ada yenu ya uwanachama,matapeli wakubwa
 
salama jabir kudadakiiiiii HAKATWI MTUUUuuu!
 
jamani desi haooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa mlango wa nyuma !!!!!!!!!!!! majambazi ya mtandaoni haooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom