hiyo minara ya 3.5 au 3.7 waliifunga lini?
jamani nisaidieni hyo 3G ni nini kwani?
Inategemea na eneo ulilopo na aina ya simu. Kama simu yao haisupport 3G then hapo lazima utasurf kwa kutumia GPRS edge. Pia inategemea na eneo ulilopo. Mara nyingi kwenye remote areas huwa hakuna 3G.