thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
Hapa ndio ule msemo unakuwa applicable "usiache mbachao kwa msala upitao", unaweza ukatumika kwa dharula kama kubeba wagonjwa au emergency yoyote. Hata kama nchi ni masikini lakini mawazo ya emergency za ugonjwa na mambo mengine inabidi tuweke kichwani kwani kumtoa mgonjwa kwenda Songwe nadhani karibu nusu saa au zaidi (sina uhakika ila najua ni pembezoni mwa mji kuelekea Tunduma)Imefanya nini? Kwani nyasi zipo hadi kwenye runway? Hata hivyo hicho kiwanja kilichopo Mafiati sidhani kama kina maana tena, kwani kuna kiwanja kizuri zaidi cha Songwe