Airport Operations Officer II & Airport Security Officer II (TAA)

Airport Operations Officer II & Airport Security Officer II (TAA)

Twaqu

Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
15
Reaction score
29
Habari za kazi wapendwa!
Mimi nina maswali mawili

Endapo mtu ameomba nafasi hizo hapo juu mbili na ameitwa zote mbili na Sekretariat ya Ajira je kuna uwezo wa Mtu huyu kuomba afanye zote mbili??Maana ziko pamoja na siku ni moja na muda ni mmoja???Anaweza kubaliwa kufanya zote...

Lakini Je Maswali yake yakoje kwa waliowahi kufanya Nafasi hizi?
 
Ulichagua ipi mkuu? bila shaka majibu yamekuja mazuri
 
Oya vipi majibu hayajatoka tu??
majibu yameshatoka yanakatisha tamaa hatarii..... hiyo security officer wamefaulu wa kwanza ana 80+ ila cut off point ni 65... hiyo operation officer wamefeli wa kwanza yuko kwenye 60+ ila cut off ni 50 wameselect watu 27 kati ya 900+ waliofanya usaili
 
Cake ya Airport ni ya moto sana, imagine watu 900 wamepiga written
 
Back
Top Bottom