Uchafu kwa tanzania ni kitu cha kawaida sana, tena miji mikubwa kama dar vile ndio hapatamaniki, wengiwao hawajui kutumia vyoo vya kisasa..ukimuliza umeflash?? Anakujibu ndio nini? Na ukienda miji midogo ndio usiseme.. mtu anajisaidia pembeni kisha anasepa,duh kweli shule muhim sana,inatoa ujinga..
Ukija Airpot nako pameoza, baadhi ya wafanyakazi sina hamunao, kazi yao pale kuwachukulia wageni mizigo yao na kugawana....wanakiburi sana hawa watu, ipo siku watanyooka tu..