Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,502
9,335
Huu mzinga wa pipa daah! Abiria 615 wanakaa humo. Yaan mwarabu (Dubai kwenye jangwa aliyeanza na ndege 1 miaka ya 1980s) anamiliki hizi ndege 119
na Boeing 777 (ndege 123) SWALA na KAZI tofauti na hapa Kisiju. Watu wanavaa kanzu na kobazi tu kazi hawataki.
 

Attachments

  • download (49).jpeg
    download (49).jpeg
    5.3 KB · Views: 29
  • images - 2023-11-01T181345.530.jpeg
    images - 2023-11-01T181345.530.jpeg
    12 KB · Views: 19
  • images - 2023-11-01T181351.180.jpeg
    images - 2023-11-01T181351.180.jpeg
    9 KB · Views: 27
  • images - 2023-11-01T182136.145.jpeg
    images - 2023-11-01T182136.145.jpeg
    5.3 KB · Views: 30
  • images - 2023-11-01T182149.367.jpeg
    images - 2023-11-01T182149.367.jpeg
    9.1 KB · Views: 26
  • download (52).jpeg
    download (52).jpeg
    6.9 KB · Views: 25
  • download (51).jpeg
    download (51).jpeg
    14.3 KB · Views: 26
TANZANIA TUTAKUWA NA KAMA HIYO LINI
Unauliza jibu, ushaambiwa huku kwetu Kisiju watu wanashinda kuvaa kanzu tu na kuamini vitu visivyo na maana maishani mwao, kazi hawataki wanabaki kuomba Mungu wawe na maisha mazuri. This is what religion makes people, stupid and out of touch with reality. Watu wanavunja kiwanda na kugeuza msikiti au kanisa na kuomba Mungu awape kazi, inakuja kichwani kweli? Waafrika hizi dini za kimichongo zinatulostisha mno.
 
Huo mpipa hamujai humo ndani,
Hao 500 ni kajamba nani,
Business Class na kuna first Class huwaoni wanaingia milango tofauti.
Kuna vyumba vya kulala,Bar na restaurant huko juu.
Ni long haul likinyanyuka hamna kutua tua
Biriani humo kama kawaida.
Kilaji utameza tu we agiza tu,
Wifi IMO,
Ipad kila mtu na yake unakula Movie 24/7
Na kwasababu wasafiri wengi wapiga kobasi basi mtu wa Simbi humo unakunywa mpk unazima.
Ila jiangalie ufike kwao ushapiga mswaki unaweza kubaki huko.
Tena haswa ukiwa Zembwela.
 
Back
Top Bottom