Air Tanzania Air Bus A220-300 (BCS3) ikipiga jaramba tayari kabisa kuja nyumbani.

Kwa maumivu yanayokupata.
Ha ha ha.. Kwanza nikuombe urejee kusoma tena bandiko langu, nimerekebisha maneno machache.. Utakuwa umefikiria mambo ya mazishi na makaburi, Siko huko unakofikiria wewe... Ila hizo ni taarifa za ndani kabisa kutoka kwa mabosi wa ABCD.
 
Nakupa pole sana.
 
Ni jambo zuri. ILA sina uhakika kama ni kipa umbele chetu.

Ni sawa na mwanamke kununua dhahabu ghari za masikio huku akishinda njaa na watoto wake wakikosa ada ya shule.
 
Nakumbuka order yetu ilikuwa ndege mbili .Zinakujazote kwa Mara moja?
Ndege hii jumamosi ijayo itaanza safari ya kuja kwenye makao yake makuu. Ile ya pili ambayo iko kiwandani kama inavyoonekana katika picha hii, itaanza mazoezi ya kuruka mwishoni mwa wiki hii. Sijui itabatizwa jina gani... Dar es salaam "Hapa kazi tu" au Mwanza "Hapa kazi tu" .. Tusubiri kushuhudia ndani ya wiki hii, Huenda zikaingia zote kwa mpigo.
Kuwa na subira mkuu, mambo ndio kwanza yanaanza.
Zinakuja zote mbili ila Moja imeandikwa "Dodoma, Hapa Kazi Tu" Na nyingine imeandikwa "Ngorongoro, Hapa Kazi Tu".
 
Ndege hii jumamosi ijayo itaanza safari ya kuja kwenye makao yake makuu. Ile ya pili ambayo iko kiwandani kama inavyoonekana katika picha hii, itaanza mazoezi ya kuruka mwishoni mwa wiki hii. Sijui itabatizwa jina gani... Dar es salaam "Hapa kazi tu" au Mwanza "Hapa kazi tu" .. Tusubiri kushuhudia ndani ya wiki hii, Huenda zikaingia zote kwa mpigo.

Itapendeza zaidi ikiitwa: Mwanza hapa kazi tu....
 
Tusubiri Boeing Dreamliner 787-8 nyingine itandikwa vipi lakini jana Mh Rais wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Bakwata nilimsikia akitamka ndege 9 sa sijui kama kuna nyingine tunatarajia kununua au alikosea tu sijafaham bado.

Ahsante kamanda
 
Back
Top Bottom