Air Mbagala..........

Mbona watu wa mbagala mnatuonea sana mabomu sisi usafiri wa shida sisi na kila aina ya mambo. Kwa nini isiwe Air Masaki au Air Sinza
 
Watu wanawahi mashuleni na maofisii kiulainii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…