SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Wamejipanga sana aisee
Mkuu sababu ni hali ya hewa ya hukoHaijawai tokea duniani
Kikwetu kwetu ni wakati gani serikali huwa pamoja zaidi na wananchi wake kama ilivyo uko kwa wenzetu #QatarQatar wako vizuri sana
Wakati wa joto wanawekaga ac kuwapooza watu
Ova
Kipindi cha tozo na kupalilia ongezeko la pesa kwenye mafutaKikwetu kwetu ni wakati gani serikali huwa pamoja zaidi na wananchi wake kama ilivyo uko kwa wenzetu #Qatar
😂😂😂Kipindi cha tozo na kupalilia ongezeko la pesa kwenye mafuta
Ni kwa Sababu ya Joto kaliHaijawai tokea duniani
Kikwetu kwetu ni wakati gani serikali huwa pamoja zaidi na wananchi wake kama ilivyo uko kwa wenzetu #Qatar