Air Conditioner za Qatar kuelekea kombe la dunia

Air Conditioner za Qatar kuelekea kombe la dunia

Kikwetu kwetu ni wakati gani serikali huwa pamoja zaidi na wananchi wake kama ilivyo uko kwa wenzetu #Qatar
Hakuna mzee mzee Qatar issue nyingine

Kuna sehemu inaitwa 21 high street, katara

Kuna malls hatari

Ukiwa ndani, nje hiyo cooling si ya kitoto

Watu huko hawapendi shida bana

Ova
 
Back
Top Bottom