Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,075
- 33,784
Kichwa kinasema FeriIyo kazi ipo maeneo gani Tegeta ,mwenge,Au kariakoo ?
Kichwa kinasema FeriIyo kazi ipo maeneo gani Tegeta ,mwenge,Au kariakoo ?
Iyo kazi ipo maeneo gani Tegeta ,mwenge,Au kariakoo ?
SawaKasema feri
Hahaha sawa chiefUmeambiwa feri mkuu, piga simu hapo
Kweri haswaaaWataanzania watu wa ajabu sana ndio maana wengi ukiwaajiri ni wezi mtu anaambiwa mshahara ni elfu 60 anasema ni mdogo tatizo tunadhani kila kazi ni ya kututoa kimaisha wakati kuna kazi nyingine ni daraja ya kupata kazi ya ndoto yako sio kila kazi ni ya kumtoa mtu kimaisha nyingine ni daraja tu.
Kwa watanzania walivyo watafika hapo dukani na kukaa kwelikweliAnaitajika kijana wakukaa dukani mshahara 60,000 kula kulala kwa boss awe mtiiifu na mchamungu kama yuko tayari anicheki 0685141035
Hahaah wazee wa mauzoKwa watanzania walivyo watafika hapo dukani na kukaa kwelikweli
Anastick kwenye tangazo kuwa niliambiwa kukaa dukaniHahaah wazee wa mauzo
bora hata wewe umeweka namba kuna wengne humu wanatangazia kazi ukimfuata pm akupe namba eti anakupa email sijui kama yuko serious kweli mwisho wa siku wanapiga watu unajibiwa tuma hela ya kutengeneza vitambusho na garama ya usahili daaAnaitajika kijana wakukaa dukani mshahara 60,000 kula kulala kwa boss awe mtiiifu na mchamungu kama yuko tayari anicheki 0685141035
😂😂😂😂Anastick kwenye tangazo kuwa niliambiwa kukaa dukani
Wakike ,wanjombe anabusara Sana funguka basi sura ngumu piawakiume wakike kwa pale kumechangamka sana vijana watamdanganyaa lawama tu bora tupate wakiume
Umeambiwa feri ,tegeta Tena!Iyo kazi ipo maeneo gani Tegeta ,mwenge,Au kariakoo ?
Safi sana wengine naona wanaubeza mshahara sasa. Cjajua wanamaana gani halisimajukumu mema🙏nashkuru jamani nimmempata mfanya kazi na ameshaaa anza kazi nimempa week moja yakufundisha next week tunaanza tarehe ya kuanza kazi rasmi