Ainaitajika kijana wakukaa dukani feri

Huo mshahara ni kwa WIKI au MWEZI? Kula ni ishu binafsi na kila mtu hupenda aina ya chakula chake, so kwenye kazi kama hizo mtu alipwe pesa ya chakula yy ndio achague, mfano anaweza kuwa Muislam na mwenye Duka ni mkristo then mkapika Kitimoto, au vyombo hivyohivyo mnatumia kitimoto nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom