Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,869
- 53,859
JitambulisheKundi langu silioni hapoš
JitambulisheKundi langu silioni hapoš
Hiyo no 8 ikipitiliza kupita kiasi, Mchungaji ndiyo anasikilizwa kuliko Mume!!Nikipata no 8 naweka ndani
Natimua tu hamna mda wa kuvumiliaHiyo no 8 ikipitiliza kupita kiasi, Mchungaji ndiyo anasikilizwa kuliko Mume!!
Wakishazoea mji wanasumbua haoNjoo huku nanjilinji mkuu wapo wa kutosha hata ukitaka koneksheni nakupa
šššNyie mnajulikana Kwa ubahili msisingizie vikoba ššHaoa dawa ni ndogo sana, naanza kuacha hela inayoendana na hizo mboga za majani (mfn 2000 au 3000) na nikirudi usiku narudi nimeshiba ili nisile nyumbani.
Nikifanya hivi week moja ni lazima atauleta tu mjadala mezani.
ššššššNyie mnajulikana Kwa ubahili msisingizie vikoba šš
ššššš
Wewe inatakiwa upewe ban na id hii ushakuwa chokoraa šššUmesahau PORNSTAR WIVES wanaotembeza vidude vyao mitaani.
Umpate wapi? Wewe kibuzi malika šššNikipata no 8 naweka ndani
Jirani šššOngezea
VICHECHE hawa hua wako tayari kutoa tunda hata kwa muuza Sumu za Panya na viroboto,ili mradi tu awe ameonja kila aina ya Ndizi.
Alifanya nini huyu ngadu š¤£š¤£š¤£Si bora angebadili. Kilimkuta kizito
My wiiNamba yangu haipo, ukileta list mpya nishtue
ššMbona āKAUSHA DAMUā hamjatuweka au leo wanaume mna pesa?? š¤£š¤£š¤£
Nambie my wii, my sugar, my potato, afisa wa utramu wa kaka, one and only. šššMy wii
Nimetafuta kausha damu sioni wii au wameanza kuhonga bila malalamiko?? š¤£š¤£š¤£šš
Usiwastue wakiamka tutakoma hayo malalamikošššNimetafuta kausha damu sioni wii au wameanza kuhonga bila malalamiko?? š¤£š¤£š¤£
Mana humu siku hizi tunaingia usiku usikute nimepitwa šš
Nipo hapa mahi Wii,mtu wa maana kabisaNambie my wii, my sugar, my potato, afisa wa utramu wa kaka, one and only. ššš
šNikajua upo unakoroma saivMbona āKAUSHA DAMUā hamjatuweka au leo wanaume mna pesa?? š¤£š¤£š¤£