kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Habari,
Nahitaji kujua aina maarufu za T-shirt na bei zake haswa kwa ujumla.
Nahitaji kujua aina maarufu za T-shirt na bei zake haswa kwa ujumla.




















MKuu kamandawasua
WHAT YOU SEE IS WHAT YOU GET, kwa ORDER yenye afya Tuonane niweze kuku price yenye afya zaidi in terms of DOLA usiogope ni cheap sana.
Kuanzia:-
10-25 = 10Usd
25-50 = 8Usd
50- kundelea Tuonane chemba.
bei ya jumla ni shilingi ngapi?
Weka office location na namba Zako za simu, nimezipenda sana
MKuu kamandawasua
WHAT YOU SEE IS WHAT YOU GET, kwa ORDER yenye afya Tuonane niweze kuku price yenye afya zaidi in terms of DOLA usiogope ni cheap sana.
Kuanzia:-
10-25 = 10Usd
25-50 = 8Usd
50- kundelea Tuonane chemba.
Mkuu angalia hizi hapa then njoo kule PMView attachment 214885View attachment 214886