Aina za mapenzi.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,429
Nampenda kila mtu,wengine napenda kuwa karibu nao,wengine napenda kuwakwepa,wengine napenda kuwapiga ngumi za uso hahaha!
 
Good night shemeji uporoto. Hapa nimetoka kapa, sijajua wazungumzia nini. Nisalimie husni popote alipo.
 
son,kweli tulikufundisha upendo. wanasema dont do anything without a passion,lol!
 
Heeee! Mpenzi mambo?
sijambo,kumbe sijarudi home toka jana ? namalizia nyagi ya mwisho nakuja sasahivi.

Ukisikia kujipendekeza kwa mamkwe ndo huku sasa...toka lini umekuwa malenga wa jf? King'asti kazi anayo..lol
Hahaha! hujambo shem,ulinichekesha sana ulivyoguswa na msiba ule wa complaints juzi lol!
 
Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
hayo unayosema si ya uchagani ? mkoani Mbeya kuna milima(sijakosea) inaitwa Uporoto.
 
Ukisikia kujipendekeza kwa mamkwe ndo huku sasa...toka lini umekuwa malenga wa jf? King'asti kazi anayo..lol

Mbona hapa mnaoongea mnaonekana wote familia moja? Mama mkwe, mume na mkwe, king'ast sijui ndo wifi mweeeeh...
 
Uporoto na uparato ni maneno ya aina ya kichaga wa rombo na maana yake ni Uharisho au kinyesi lainiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Ukiskia ugomvi ndo huu sasa, kiny..... Wakati hilo jina ni kutoka unyakyusani..
 
Mbona hapa mnaoongea mnaonekana wote familia moja? Mama mkwe, mume na mkwe, king'ast sijui ndo wifi mweeeeh...
Hahaha! wala usiogope tumefahamiana humuhumu ki-keyboard wengine tumepata wake,wakwe na mashemeji na hatujawahi kuonana hata siku moja,ni maisha ya kufikirika zaidi lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…