Wanawake wanaopendwa zaidi na wanaume na hata kuolewa mapema ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makini kwenye matendo yao na siku zote hufanya vitu kwa ajili ya kupata mafanikio.
Mwanamke ambaye ataridhika na wanaume ambao maisha yamekuwa yakiwageuza kutoka juu kwenda chini au chini juu. Kukubali hali zote bila kubadili tabia ni sifa njema ya mwanamke bora.[/QUOTE said:Hapo kwenye red: Mafanikio kama ya Flora Mbasha.................. unaelewa kilichomkuta Imma!
Hahahahaaaaa miss famba unanichekesha na msimamo wa madolari! Hata huo mzigo unatakiwa useme unakutosheleza na wala si mzigo! Akili za kushikiwa hizi!
Hii misemo hii..vitu haviji tu mezani bilamalengo na kufanyia kazi..hata mausiano mazuri lazima uwe na malengo, maombi na kufanyia kazi...ipo ipo tu e ai'nt there
(In Martin Luther voice)...' I have dream, this girl HOE, I have a dream this girl HOE will be a good wife and mother to someone in near future, GOD bless HOE...'
kuchangumu, hizi ni facts tupu
Wambie bwana maana wengine tukisema utasikia Oooh "amuhishi kutusema"