Kwa kuzingatia hivyo vigezo ulivyotaja
Chukua boxer.
Pia kwa nyongeza Boxer haitumii mafuta sana kama zilivyo pikipiki zingine mfano snlg uliyoitaja, Hapo nimechukulia zote ni cc150.
Kwa kigezo cha bei Boxer si chini ya Milioni 2, wakati snlg waweza kupata kwa 1.6m.
Kama fedha haitoshi kwa boxer, ni vyema ukavuta subira ili uongezee na kuchukua Boxer 150cc