Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

hahaha leo ndo inasemwa hivyo bas mamlaka zianze kuchunguza hata miundombinu mingine na vyombo vya usafiri na kazi
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu hii ni kwa mujibu wa CNN
Tatizo sio technical error ya hiyo ndege bali ni hali ya hewa na uzembe wa rubani... baada ya kuona hali ya hewa mbaya asinge-gamble kutua... alifosi kwa kigezo cha uzoefu.....
Waliopona wameelezea vizuri sana... waliona hali ya hewa ni mbaya na rubani aliwapa taarifa na kuwaambia wanataka kurudi mwanza sababu uwanjani hali ni mbaya, wakashangaa wametua majini... uzembe ni kwa rubani na wale waliokua kwenye traffic controller....
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu hii ni kwa mujibu wa CNN
Huu ni upotoshaji unless kama unaweza ukaprove
 
Mtoa post baada ya kushiba kande na mb unazo ukaamua kutupia tu hapa pumba zako

Huu uhuru wa kuongea ukitakacho Sasa unazidi mipaka..mkipigwa ban mnalalamika Kama nini
 
Hivi kwenye hii ajali mbona sisikii kabisa ikiongelewa issue ya Black box ya Ndege husika? Humo ndio kwenye data zote.
 
Back
Top Bottom