Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka Marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu. Hii ni kwa mujibu wa CNN
hebu itaje aina ya hiyo ndege kama sio yzushi wako
 
Sawa mjuaji....marekani si ndio kuna kila kitu hadi hali ya hewa unayoitaka
Mamlaka ya Hali ya Hewa walitabiri Bukoba ingekuwa na hali mbaya hewa at that time? Hivyo ni vijisababu vya kujitungia kujustify the accident Mzee!
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka Marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu. Hii ni kwa mujibu wa CNN
Tanzania hakuna barafu wala upepo mkali kiasi hicho.
Acheni kuleta visirani vyenu hapa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka Marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu. Hii ni kwa mujibu wa CNN
Haya ndiyo matatizo ya kuvuta bhange ukubwani!
 
No no mkuu usi comment kama zuzu, uchunguzi wa kitaalamu kujua nini kilisababisha ajali ile bado, flight box&black box vitasaidia kujua nini chanzo cha ajali, huna hata report ya weather muda wa ajali sasa nini kimekuaminisha kuwa tatizo ni weather?,na hatuiti uzembe wa pilot (elewa amefariki kwenye ajali hawezi kijitetea),kabla ya to ask hard questions kwa serikali ya ccm kwa kuzembea uokoaji, wewe unakimbilia soft targets, shame on you
wasengerema kama hawa wako wengi sana kama ingekuwa kumtukana mtu jf unapigwa ban basi mimi ningempa mitusi yake for the first time
 
hii ya kwetu haijaanguka bali imejichovya kwenye maji, ndio maana wenye mamlaka wakaamua kuwasogeza pembeni wale wavuvi waliokuwa wakijaribu kuwanusuru watu, wao wakaona sensa imeonyesha raia ni wengi sana wakifa wachache sio mbaya. Au ni mtego wa kibiashara huo...ila wateja wahamie upande wa pili kwakuhisi huko ni salama zaidi..najaribu kuwaza na akili zangu za kisoda 😎
 
Human Error, Rubani alishawatangazia abiria kuwa, hali ya hewa siyo rafiki, na Ana taka ku Divert kwenda Mwanza Airport. Sasa kilichomfanya ajaribishe kutua Ni kitu gani ? Ndege siyo gari, kwamba unajaribisha kuvuka kwenye tope likikwama utavutwa, ndege Ni shughuli nyingine !, Uki fell ku attempt inakuwa total Distructio.
 
Sina uhakika Kama Marekani wali zi fase out hizi ndege Aina ya ATR, lakini ni kweli kwamba ajali nyingi ya hizi ndege duniani, zimetokana na hali ya hewa mbaya, Kuna uwezekano Mkubwa kuwa hizi ndege haziwezi kuhimili hali mbaya ya hewa, hata uki Google utaona.
 
Human Error, Rubani alishawatangazia abiria kuwa, hali ya hewa siyo rafiki, na Ana taka ku Divert kwenda Mwanza Airport. Sasa kilichomfanya ajaribishe kutua Ni kitu gani ? Ndege siyo gari, kwamba unajaribisha kuvuka kwenye tope likikwama utavutwa, ndege Ni shughuli nyingine !, Uki fell ku attempt inakuwa total Distructio.
Rubani ni bonge la Kiazi R.I.P
 
Hiyo hapo wakuuuhttps://www.deseret.com/1994/12/10/19147284/2-atr-models-banned-from-icy-flights?_amp=true#aoh=16678510836938&referrer=https%3A%2F%2Fwww.google.com&amp_tf=From%20%251%24s
 
Tatizo sio technical error ya hiyo ndege bali ni hali ya hewa na uzembe wa rubani... baada ya kuona hali ya hewa mbaya asinge-gamble kutua... alifosi kwa kigezo cha uzoefu.....
Waliopona wameelezea vizuri sana... waliona hali ya hewa ni mbaya na rubani aliwapa taarifa na kuwaambia wanataka kurudi mwanza sababu uwanjani hali ni mbaya, wakashangaa wametua majini... uzembe ni kwa rubani na wale waliokua kwenye traffic controller....
Yatasemwa mengi sana!!kwa tulio wahi kuishi bukoba tunaifahamu vizuri sana hali ya hewa ya bk,karibia siku zote huwa sio nzuri,mnaweza amka mkakuta ni ukungu tupu,.Kama ma pilot wakifanya kama unavyosema kila siku ndege zitakuwa zinashindwa kutua pale,kutokana na changamoto ya hali ya hewa,lakini ni kawaida sana kukuta ndege inazunguka wee,then badaye inafanikiwa kutua.Harafu unatakiwa kufahamu kuwa uwanja wa ndege wa bk hakuna traffic controller aliyepo ardhini,kusema kwamba angeweza kuwa anaiona kwa macho.Na marubani wengi waliohojiwa wamekiri kuwa ule uwanja ni changamoto sana kutokana na eneo ulipo na urefu wa runway.hivyo kuna vifaa vya kiusalama vinatakiwa viwekwe pale,ili kuwarahisishia marubani kutua kww usalama.
 
Jamaa ameelezea utadhani ni investigator wa NTSB ili hali hata hajasikia voice recorder rubani aliongea nini na controller wala hiyo black box hata haijachekiwa sisi kila kitu ujuaji.

Back
Top Bottom