Aina ya ndege ya Precision iliyoanguka iliondolewa kuruka Marekani

Tatizo sio technical error ya hiyo ndege bali ni hali ya hewa na uzembe wa rubani... baada ya kuona hali ya hewa mbaya asinge-gamble kutua... alifosi kwa kigezo cha uzoefu......
No no mkuu usi comment kama zuzu, uchunguzi wa kitaalamu kujua nini kilisababisha ajali ile bado, flight box&black box vitasaidia kujua nini chanzo cha ajali, huna hata report ya weather muda wa ajali sasa nini kimekuaminisha kuwa tatizo ni weather?,na hatuiti uzembe wa pilot (elewa amefariki kwenye ajali hawezi kijitetea),kabla ya to ask hard questions kwa serikali ya ccm kwa kuzembea uokoaji, wewe unakimbilia soft targets, shame on you
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu hii ni kwa mujibu wa CNN
Unafki wa Kimarekani huu.
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu hii ni kwa mujibu wa CNN
Bongo hatuna barafu wala upepo mkali
 
Kwani hapa ni marekani,au kuna kakampuni kapya kameanza hujuma.wanadamu hawaamini kitu.
 
Tatizo sio technical error ya hiyo ndege bali ni hali ya hewa na uzembe wa rubani... baada ya kuona hali ya hewa mbaya asinge-gamble kutua... alifosi kwa kigezo cha uzoefu......
Hali mbaya ya hewa Bukoba? Hali mbaya za hewa mnazijua kweli? 3 degrees latitude hali mbaya ya hewa? Watafute sababu nyingine.
 
Aina ya ndege ya precision iliyoanguka iliondolewa katika orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuruka Marekani kutokana na historia ya kuanguka hasa maeneo ya upepo na barafu. Hii ni kwa mujibu wa CNN
Duh!
 
Yatasemwa mengi sana
 
Back
Top Bottom