Aina ya Mioyo ya wapinzani Tanzania

Aina ya Mioyo ya wapinzani Tanzania

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,580
(1)Wale wasiyoyumba wala kubadilishwa kama Tundi Lissu hata umuonge nini habadiliki
(2)Wale wa maslai kama Mbowe wao watavumilia kila aina ya mateso lakini ukiwapa pesa wanasahau yote
(3)Wale wanaofwata upepo kama akinyimwa madaraka Chadema anaenda kuyatafuta kwingine Msigwa
(4)Wale awana msimamo yaani haeleweki naweza akawa CCM,kesho Chadema,kesho kutwa ACT Wazalendo
(5)Wale wajinga kama Lucas yaani yeye atamtetea tu muhusika hata kama mchafu kachafuka kivipi
Note; endeleza na wewe
 
Ila Lissu kapitia mengi

1. Kalimwa risasi

2. Kafukuzwa ubunge

3. Kazishiwa kesi ya uhaini ili wamnyonge.
 
Ila Lissu kapitia mengi

1. Kalimwa risasi

2. Kafukuzwa ubunge

3. Kazishiwa kesi ya uhaini ili wamnyonge.
Kuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.

Kwa vichwa vya WATANZANIA Wenda atatufaa katika maamuzi.
 
Kwa ujasiri alionao Lissu nina mashaka kama ni Mtanzania.

Watanzania sifa yetu kubwa ni kupuuza na kuridhika hata kama tunapitia madhila.
 
Kuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.

Kwa vichwa vya WATANZANIA Wenda atatufaa katika maamuzi.

Kweli kabisa. Kama tunataka mtu mwenye maamuzi magumu ya kubadilisha nchi Lissu anatufaa.
 
Kuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.

Kwa vichwa vya WATANZANIA Wenda atatufaa katika maamuzi.
Wezi watakimbia nchi Lissu nae ni DIKTETA sifa moja wapo ya dikteta Muumini wanataka watawale Mijadala kwenye dibeiti yoyote Lissu anayo hiyo sifa. Nukuu Wewe ni mwanasheria wa wapi? Anaulizwa balozi Masilingi Lugha fulani za buying mtu Lissu ni Magufuli aliechangamka maana yeye Muumini wa Sheria alafu anasoma sana Vitabu Lisuu ni kama Kagame kwenye kusoma
 
Yaani kiuhalisia kama kila kitu kingesimamiwa kwa haki huyu ndiye ilibidi awe Rais,lakini watu wapo wanataka waongozwe na kikundu fulani ambacho hakikubaliki na watu ila tu kinasapotiwa na mihimili ya inchi
 
Lissu hayuko kwenye Cyle ya watoto wa mjini. Si umeona wamekuja nduki kuwaka katiba ya Chama imevunjwa katiba ya Chama Muhimu kuzidi ya Jamuhuri. Polepole nae ni wale wale mzee hii nchi mpaka siku wakiamka Mama wanaumuonea tu Achukue zake mitano ikiwekana akae milele kwenye Urais amuachie Lissu na Lissu aende zake Belgium atulie zake
 
Back
Top Bottom