Aina ya askari police tulio nao

Aina ya askari police tulio nao

Kazi tamu ila imedharaulika na watawala mno, yani unakutana na askari wa hivi anakuuliza kwa nini unatembea na gari tairi kipara😅😅

Pumbavu sanaView attachment 3654478
Wananchi hawajawahi kueleweka wanataka nini. Watu wakitembelea magari makali, utasikia oohh wanapiga dili na kuiba fedha za umma. Watu wakiishi maisha yanayoendana na vipato vyao mnaanza dhihaka
 
Back
Top Bottom