agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Nahisi kuna namba inakuhusu hapo hahaha
Nahisi kuna namba inakuhusu hapo hahaha
Sawa mkuu.Sijaoa kwahio sipo.
Rijali bila pesa? Tutakula urijali?Mume rijali
Huyu huwa anapendwa na wanawake Hata bila Pesa na wakati mwingine huwa anapewa yeye
Kazi yake kubwa ni kupiga Mashine hadi iwake Moto
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 Bora ntole akurya ndigwe makopi, kuliko inye nikia ni presha ska mufwaileeHahaha lega ipaaa utola du
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ntole akurya ndigwe makopi, kuliko inye nikia ni presha ska mufwailee
hahahahah, hakika mkuu.Yeye mwenyewe yuko kundi gani? Hawa watu wa namna hii ndo wanawapoteza wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeMume wa jumla nishawahi kudate naye kwangu anajali sana ila mkewe sasa holaaa sijui kwann
Sent using Jamii Forums mobile app