lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,205
666 on duty
Mkuu Ila mafut si ynaagiwa ka USD? Make USD ndo kila kitu na hizounazo zitaja haina demandoyote il n hata ongo sijaziona kwenye Oodha ya pesa za kigeni kwenye FOREX
Si kweli kwamba pesa hizo ulizotaja ndio zenye nguvu duniani! Soma money pegging systems ndo utajua kwani hizo hela hazina nguvu isipokuwa paundi ya uingereza.
Kwa wale waliosoma mambo ya finance watajua kipimo cha hela yenye nguvu ni kama ifuatavyo:-
1) Confidence ya users wa hiyo pesa
2) Worldwide acceptability as a means of exchange
3) Economic strength of the issuing country
Wote mmeongea vizuri sana chasha..kubota..investa..lakini mimi nachoongelea ni kwamba chasha ukiwa na oman rial 20 na kubota akiwa na UK pound 20 mkienda posta kubadilisha chasha mwenye oman rial atakuwa na pesa zaidi ya kubota mwenye paund...zamani ningekwambia uende kwenye maduka ya kubadili pesa ukaulize...lakini siku hizi teknolojia ni kubwa google utizame pesa ya wapi yenye nguvu kisha rudi utoe maoni..naomba chasha ufanye hivyo...mada ni pesa gani yenye nguvu sio inayotumika sana..karibuni
Malyenge umeelewa vizuri nilichokuwa nasema..watu wengi wanadhani dola ndio yenye thamani kubwa kwa kuwa inaonekana kila sehemu sivyo..katika currency kumi zenye thamani duniani us dola haipo..kuna vinchi vidogo visivyojulikana lakini pesa zao zipo juu sana..kuwaiti dinar ukiwa nazo 2000 ata waarabu wenyewe watakushangaa is so poweful..ni mara tatu ya dola..chasa anasema hajawai kuziona kwenye exchange zipo...au tumia tu simu yako google currency conveter itakupa jibu..nashukuru sana kunielewa malyengeVery good!!! Wewe ndo umeelewa mada. Wengine wanaleta ubishi kisa hela hiyo inatoka ka-nchi kadogo tu-Kuwait, na isitoshe wanakaa waarabu goigoi wasioweza kufanya kazi kama nchi hizo. Siyo hoja... Hoja ni pesa gani ni ghali kuliko zote kama ulivyosema wewe.
Big up mdau kwa kunifumbua Eyes kidogo kuhusu money exchange!Paund cha mtoto sana kuwait baba yao
Very good!!! Wewe ndo umeelewa mada. Wengine wanaleta ubishi kisa hela hiyo inatoka ka-nchi kadogo tu-Kuwait, na isitoshe wanakaa waarabu goigoi wasioweza kufanya kazi kama nchi hizo. Siyo hoja... Hoja ni pesa gani ni ghali kuliko zote kama ulivyosema wewe.