Aina nne za Wanawake Michepuko

Na Mara zote namba 1 huolewa au kuhalalishwa kuwa njia kuu/mke aka waifu matirio.

Ila wanawake aina ya lami usiwachukulie poa, ukiwazingua anasepa hakutafuti anaendelea na yake.

Dunia hii wewe si wa pekee huo ndo ukweli mchungu usio na lepe la unafiki....

Mahaba ndo yameandika hapa mimi nilikuwa naangalia muvi ya Mahaba .
Hujawahi kufail bibi wa mahaba
 
Back
Top Bottom