Aina mpya ya wizi Vodacom

Aina mpya ya wizi Vodacom

YANI MTU AKISEMA KWAMBA BADO ANATUMIA VIFURUSHI VYA VODA,NAONA KM VILE MP..........VU
 
YANI MTU AKISEMA KWAMBA BADO ANATUMIA VIFURUSHI VYA VODA,NAONA KM VILE MP..........VU

Kweli mkuu mi naona wanajitakia kuuibiwa wakati kuna mtandao unapata 630mb za uhakika kwa 500/= tu mitandao mingine kama voda hila bando unaweza kulinunua kwa 10000/=
 
Kuna siku ilinitokea hivyo. Nikalalamika Huduma kwa Wateja. Wakaahidi watarejesha. Mpaka leo hawakurudisha. Wezi wakubwa Vodacom.
 
Back
Top Bottom