Mbona kununua salio m-pesa system hairuhusu kufanya muhamala zaid ya mmoja?.kama kuna tatatizo la system utaambiwa ombi lako la kwanza bado linashughulikiwa.hata ufanye muhamala mara 20 ikija kukubali utapata moja tu.lkn hii ya kununua kifurushi itakataa na badae itanunua vifurushi vyote kulingana na idadi ya mihamala uliyofanya.somethng is wrongSaa nyingine system yao inakuwa hovyo kwa hyo mpaka ije kurespond inakamilisha miamala yote uliyofanya.
Nakushauri,ukifanya muamla mmoja tulia kwanza na wala usifanye muamala mwingine mpaka utakaporudishiwa majibu.
Kumbe naepuka mengi kutotumia Sim card yangu ya voda. Mkuu pole sana. Karibu airtel.Wanachofanya kukuibia ni hivii:-
Ukinunua "bando" i.e la internet kwa M-Pesa hawakupi majibu ya ukamilifu wa muamala, ukiangalia salio unakuta lipo vile vile.
Muda ukipita utajaribu mara ingine kununua, pia hutapewa report ya kufanikiwa, kwa kuwa salio halitakatwa, utaridhika kuwa muamala haujakamilika.
Utajaribu mara ya tatu au hata nne, ukiisha kata tamaa na kuacha baada ya nusu saa au zaidi kidogo wanakuuzia miamala ya bando zooote ulizojaribu kununua na mbaya zaidi uwe ulinunua bando za siku, unaweza kujikuta umeibiwa hadi 10,000/ kwa staili hii walioibuni hawa vodacom.
Natafuta njia bora kabisa ya kuachana nao maana tazama wanatumia mabilioni ya shilingi kutafuta wateja kwa matangazo ya biashara yao, lakini wanashindwa kutumia mtaji mdogo kabisa kuendelea kunipa huduma niwe sehemu ya kuwaingizia faida iliyokusudiwa na matangazo ya kuwalipa kina daimond kusaka wateja.
Piga costomer care yao uone majibu yao ya kukariri, AIBU.
TCRA imevunjwa haipoNikweli kuna wizi mkubwa. Unanunua bando la MB 500 lakini data meter ya tablet yako ikisoma unetumia MB 420 tuu wao wanakuonyesha kuwa unemaliza MB 500.
Sasa wizi huu mpaka lini? Na kama ni kwa nchi nzima wanatuibia kiasi gani kwa siku,mwezi hadi mwaka?
TCRA waliangalie hili, huu ni ukibaka kana mwingine wowote
Halotel wana huduma ya kutoa pesa na ina work vp??Ungepitiliza hadi halotel tigo ni majizi kama voda tuu mkuu..
Voda wezi siku zote,kama hii ya dabo bando hakuna chochote usijaribu kabisa utalia
Ndugu Kambagasa, tunaweza kuwasiliana kupitia DM ili kukufahamisha zaidi matumizi yako. Uishaji wa kifurushi unatokana na matumizi.Wameniliza jumapili mimi kila nikiweka mb dkk tatu wameshapita nazo nikapiga simu huduma kwa wateja wakanijibu uliacha data wazi nikawajibu mbona miaka yote hamkati!? Utanikata vipi mb 1500 kwa mara moja pasipo kutumia data !? Nikaweka elfu moja nayo wakapita nayo!! Nikaamua kurudi airtel.
Hakuna ujumbe wowote wa kusema bando la halali limeisha sasa unaanza kutumia la dabo au zawadi.Wizi mtupu na ukichunguza hakuna cha dabo yaani hata zile za halali wanaiba mudaHabari Bongolala, unapata tatizo gani kwenye Dabo Bando?