hawa wezi wa kutumia dawa walisha sababisha mimi na jamaa yangu kuonekana wezi pia.
maana walipiga vyumba vi 3, tukabaki wa 2 hatujapigwa. kitu kilicho fanya wale waliopigwa kuamini mimi na jamaa tunalichora juu yao.
jamani wezi mkipiga jitahidini mpige vyumba vyote (kwenye nyumba za kupanga). Maana mnatuachia msala wengine(msio tupiga)