Aina kuu tano za ukahaba

Ukisema mtu anapenda sex na unampata kwa maneno tu
huwezi tena kusema huyo mtu anajiuza
kujiuza ni ku sex ili upate pesa

Sasa kama mtu anafanya kwa starehe zake au kwa kiu kubwa ya mwili wake
why umuite anajiuza?

Kumbuka japo anafanya kwa starehe zake na kwa kiu yake ila bila kupewa hela hafanyi!
.......kihesabu maana yake anaprefer money kuliko sex pleasure!!
 
Ungehitimisha kwa kusema wanawake wote waliopo duniani ni malaya ila wametofautiana makundi waliyopo.

Hapana sio kweli kunawanaojielewa kwakauli yako nisawa na kuchanganya buzi na sungura kisawote wanamikia mifupi minimepingana na wewe ninaimani hata wewe kwenyekundi hilo la ukahaba haupo
 
Upo sahihi sana
 
Hii ngoja nimwoneshe demu mmoja anajidai maadili sana lakini anagongwa na wenye chapaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…