Aina ipi ya sabufa ni nzuri

150k apo ni za kichina za kwetu uswazi uku..sea piano, blackstone au aborder ziko poa..lkn sea piano inapiga zaidi
 
Nunua Ahuja, kama zile zinazowekwa juu ya majengo flani, naamini utazipenda na hautachukia.
 
Kama ni matumizi ya nyumbani chukua AILiANG AL9600(USBFM9600A) 5.1 CH au chukua aina hiyo hiyo class B au C ndugu utafurahia mdundo wake bei ya zamani 450,000 kama ni Class C speaker 4 fupi inch kama 40 hivi kama sijakosea na kama ni Class B bei ni juu kidogo lakini haipishani sana na Class A kwakua Class A ndio inauzwa bei juu kama kilo 7 na kuendelea kwa bei ya mwaka 2013 sasa kwa bei ya 2016 ndio sijui labda uingie kwenye mtandao ucheki na itakubidi uagize nje ya nchi kama utazikosa kariakoo Dar au Mkoani mbeya endapo utaona inafaa
 
Chukua hii mtoa post at least utapa sound iliyonyooka walau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…