tafuta geepas ile ambayo ni nyeupe manual au sayona, hizi ni nzuri zina sound ya ukweli,nakushauri chukua ambazo operation yake ni manual. hizi za remote kama kodjetec,sean piano,rising huwa zinatatizo la kufa ac ya memory hivyo unashindwa kujiprogram yenyewe kinachotokea huwa inajiongeza sauti yenyewe au kupunguza,au haiwezi kubalance satelite speakers etc. hiyo geepas ni moto wa kuotelea mbali kwa bass ina radio na usb,kitu sio mchina ni mwarabu,emirate.hizi ni kampuni moja na subwoofer za jec kama uliwahi zitumia