Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

usipopenda kitu, hususani maumbile ya binadamu, ni heri ya kujisemea moyoni. kuliko kuyatoa nje ya moyo na kuyaweka hadharani. kwa sababu ni kuwakwaza wahusikao, na ni chukizo kwa muumba mwenyezi. kwa kuwa kila mja alizaliwa kwa jinsi yake bila kujipangia. so we have to be carefully with words.
 
Mungu hukwazika kwa :-
=kuwaza
=kunena
=kutenda
kwahiyo hata ukiwaza tu usiyatoe nje mawazo yako tayari usha mkwaza mungu
 
Wanaume dizain yako ndo unakuta wabayaaaaaa...pesa huna ,halafu unakibamia...halafu mwenyewe ulizaliwa na singo maza...then unajifanya kuchagua wanawake....
Afu wanaume wengi wa aina hii ndo huwa wana maneno ya ivi na unakuta mama ake single maza watoto 5 kila mtoto na baba yake sjui hafikirii wale walokuwa wanapita kwa mama ake waliwezaje?
 
Wanaume dizain yako ndo unakuta wabayaaaaaa...pesa huna ,halafu unakibamia...halafu mwenyewe ulizaliwa na singo maza...then unajifanya kuchagua wanawake....
Mbona flat screen mnanishambulia hivi, hata kama uliyoyaandika ni kweli haina maana kua mimi nisiwe na preferences zangu kwenye mahusiano, mtu akizaliwa na single mom ndio maana kwamba apende single moms? Ukiwa na kibamia au huna hela hutakiwi kua na vipendeleo vyako? huo utakua ni upungufu mkubwa sana wa kukosa kujiamini.
 
Sasa wew unaweza kushangaa ukafall na kuoa kabisa MTU uyu apa,..

Short chassis,flat bar,single mom..mungu akakuongezea, kabisa na BIGGG BOOBSS kama extra charges,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…