Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
- Thread starter
- #61
Simu zake si za kunijulia hali tu mkuu bali ni kunichunguza kwa muda huo ajue niko wapi na nafanya nini,Ila mkuu kwa upande wangu sioni kama ni shida. Kutokana na maelezo yako ni anakujulia hali mara moja kwa siku.Na muda anaofanya hivyo ni muda usio wa kazi ambapo umekuwa umetulia. Mwanamke wa hivi na kama hakusumbui sana kwenye hela, wapo wachache sana karne hii. Ukimuacha ndo utaona.
Mfano jana kanitumia sms whatsapp nikakausha japo nilikuwa online,akatuma sms ya kawaida bado niko kimya then akapiga video call ndipo nilipopokea na nikamjulisha kuwa nililala na baada ya kupokea taa ilizimwa so hakuniona bali ni giza na hapo alijiaminisha na akawa na amani,
Na leo tena siachwi salama.