Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,263
- 25,540
Namba zangu za simu ziko Huku mtandaoni. Sheikh mie Nina mke na watoto. Ila Sina wa kunitext mda wote natamani unipe number hizo nikusaidie kuzungumza nae Ili asikuchoshe😬😂😂😂 Yaan nikupe namba zako alafu namba zako si unazo mwenyewe
Nimegundua unahitaji mwanamke bubu na kipofu, inawezekana ungefurahi akiwa kiziwi pia. Kwa sababu kwako mbususu tu ndo unachokitafuta kwa mwanamke😬
Uwe unapenda kuzungumza na mwanamke wako Ili ujue state ya akili yake asije kuwa physcopath, ujue ndoto zake, umfahamu kiundani, ujue routine zake, basi hata kufurahi nae tu umfurahishe😊