Aina hii ya nyoka wapo Tanzania?

Swila yupoje?
Swila sumu yake ni mate yake anauwezo wa kurusha mate mita tano mate yake yanawasha sana na ngozi kuvimba haraka, ila kama umepata watalaamu wa miti shamba kunamajani mtu akitafuna alafu nae akakupulizia mate ya ile dawa unakuwa safi kabisa,yaani unapona kabisa.
Hao lazima tutakuwa nao,Tumebarikiwa Tanzanite sembuse hao nyoka
 
..Hatubishani fanya Utafiti juu ya hicho nilichokiandika....
Mimi sijakubishia nimechallenge ulichokiandika kisha nikakuonesha ambacho studies zinaonesha kua kinadetermine ukali wa sumu ya nyoka.
 
Swila yupoje?
Sumu yake ni mate anauwezo wa kurusha mate mita tano na ngozi yako kuvimba haraka, ila kuna dawa za asili majani flani mtu akitafuna alafu ukapuliziwa mahali alipokurushia mate yake unapona haraka. Sema kwa kizazi hiki sijui kama wanaweza ijua hiyo dawa.
 
Mkoani morogoro maeneo ya wilaya ya ulanga ,mahenge/ilonga au mbuga waweza waona kule kuna mabwawa makubwa na mito inayotokea kwenye hifadhi ya seras game reserve pia maeneo ya Ifakara kwenye mabwawa ya kitope na makutano ya MTO rumemo na kilombero
Kumbe wanapenda sehemu ya maji maji
 
Ukumuona uyo kweli
 
Uyu wa njano na kijani nazani wali wowana ndo wakaitoa iyo product Apo chini[emoji3] [emoji3]
 
Wewe bwege google ni bure,andika cobra in swahili halafu njoo na jibu.swila ndiyo cobra .na wala sijasema nyoka wengine hawatemi mate,ila cobra huvimbisha shingo akitema mate
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama me bwege we ni bwegenho a.k.a Bwegest
 
Wapo, hata huku KARIAKOO! Wa hivi
 

Attachments

  • images-52.jpeg
    10.8 KB · Views: 45
  • images-45.jpeg
    9.2 KB · Views: 48
  • images-45.jpeg
    9.2 KB · Views: 41
Hapa VP?!
 

Attachments

  • images-61.jpeg
    8.3 KB · Views: 46
  • images-54.jpeg
    14.9 KB · Views: 52
  • images-128.jpeg
    10.8 KB · Views: 53
  • images-46.jpeg
    10.8 KB · Views: 53
  • 2016-11-26-11-12-11--1501260050.jpeg
    9.8 KB · Views: 51
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…