mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,286
- 71,999
Theory zimekua nyingi mno....
Alafu kuna Al Bahil, kukupa mbussu ni ishu kinomaAl mufilis mwanamke anayependa kuomba hela mda mchache baada ya kutongozwa
MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia mbaya mwanamke kutaka talaka ovyoMUKHTALIYA alikuwa mke wangu wa kwanza nilijuta, nilifurahi sana nilipo achana nae.
Inatakiwa iandikwe na mwanamkeKindly,
We need a male version of this thread.
Ngoja niingie kazini😎Inatakiwa iandikwe na mwanamke