Aina 8 za wanawake hatari

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
AINA 8 ZA WANAWAKE HATARI

1 MUKHTALIYA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kujivua yaani mara kwa mara hupenda kuomba talaka hata kosa si kosa yeye keshataka aachike tu, huyu hafai hasa ukimpenda sana atakusumbua ni tabia mbaya mwanamke kutaka talaka ovyo.

2 ALHANNANA - Huyu ni mwanamke mwenye tabia ya kulinganisha maisha yako na ya mwanaume mwengine kama aliwahi kuolewa kabla yako au atalinganisha na maisha ya nyumbani kwao kama wa mwanzo alikuwa vizuri basi wewe utakuwa jalala la lawama huyu hafai maana siku zote utakuwa unajiona wa nyuma tu.

3 ALMANNANA - Huyu ni msimbulifu kila jambo mlilofanya pamoja yeye atakusimbulia na kudai kila kitu kakufundisha yeye hata akikupa zawadi ataisimbulia kwa watu hafai maana watu watakuona huna ujualo mbele yake

4 ANNAASHIZA - Huyu yeye hamtii mumewe hata kidogo na ukimuamrisha jambo haoni tabu kujibu sitaki hata mbele za watu na hupenda kuwa juu zaidi ya wanaume ni mkaidi sana.

5 AL AAHIRA - Huyu hatosheki na mumewe hata kama utajitahid kumridhisha bado ataenda nje tu hata ukijiweza. Huyu hakawii kuleta mimba feki.

6 AL BARRAAKAH - Mwenye kumemetuka, huyu hupenda kujipamba akiwa anakwenda kazini, sokoni au shughulini ila nyumbani hajipambi ng' oo huyu analeta ugonjwa wa moyo.

7 ASHADDAAQA - fedhuli anaongea sna huyu, wewe una neno moja yeye anakumi ni hatari sana na ishara yake akiongea hupenda kubinuabinua midomo na huongea kwa kunyari mara anakudhalilisha hafai huyu.

8 AL HADDAAQA - Huyu mara nyingi kila anachokiona yeye anakitaka tu anapenda maisha ya kifakhari kama huna uwezo atakutoa kibiongo.
Allaah sw waepushie wanawake waumini wasiwe kati ya makundi haya.
 
Mmmh lugha hiyo ngumu sana, nni maana ya kumemetuka hapo namba 6?
 
oa malaika......... no (6) muweke kando umemuonea........ unataka akiwa anapika jikoni pembeni awe na makeup,ripstc, wanja na spray ili jasho likimkumba tu avitumie fasta?????????????? basi mume utakuwa sharobaro........
 
Lugha ngumu but u have a point
 
9. AL LARA1 Huyu Bila Ya Kuwa Na Atleast Milioni 50 Ktk Akaunti Ya Benki,Hata Usimuombe Namba Ya Simu, She Will Milk The Shit Out Of Your Wallet.

10. AL NIFA Yeye Mjanja Mjanja. Mpenda Ubuyu.

11. AL MISS NATAFUTA. Jina Linareflect Huyu. Ana Namba 1000+ Za Mishababi Anachat Nayo So Kama Una Wivu Utapata Ulcers

12. ALMISS CHAGGA. Huyu Kama Una Kibamia Na Unakojoa Kama Bata Usijisumbue. Uwe Na Hoggo La Maana La Sivyo Utafunguliwa Thread/Uzi Humu.
 
Mimi huyo namba 6

Naanzaje kujipamba akati niko nawewe nyumbani?
Ata tukilala utataka nijipambe. Makeup ni unconfortable haswa kama hamna anaeona kua umejipamba.
 
Sidhani kama wanawake wa leo ujioa atakosa japo kasoro moja kati ya hizo kama sio kuwa nazo zote!
 
Mimi huyo namba 6

Naanzaje kujipamba akati niko nawewe nyumbani?
Ata tukilala utataka nijipambe. Makeup ni unconfortable haswa kama hamna anaeona kua umejipamba.
HATA MIMI SIJAJUA SHIDA YA NAMBA SITA ,NADHANI NIPO HAPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…