Aina 8 za wanaume hatari

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,227
5,132
_____________________________________

*AINA NANE ZA WANAUME HATARI.*

*↓↓ 1-ASIE PENDA KUFANYA KAZI AKISUBIRI ALISHWE NA MKE.*

Huyu ni hatari kwa sababu hatokuwa na ujasiri wa kumkemea mke pale anapokosea kwa kukhofia mke asije kasirika na kusitisha huduma ya kuilisha familia.

*↓↓ 2-ADHWWAAQ (ONJAONJA)*

Huyu ni mwanamume anaependa kuoa na kuacha bila ya sababu,huyu ni hatari kwa sababu anazichezea sheria za Allah na kuwadhalilisha wanawake,talaka inakubalika ktk Uislamu lkn imewekwa ktk nafasi ya mwisho ikiwa hatua zote muhimu zimeshindikana.Kuoa na kuacha bila ya sababu za msingi hakukubaliki ktk Uislamu.

*↓↓ 3-ALMANNAAN.*

Huyu ni mwanamume anaemnunulia mkewe vitu vya aina mbalimbali kisha anaanza kujitangaza nje.
Huyu ni mtu hatari kwa sababu kitendo cha kumpa mtu kitu kisha ukaanza kujitangaza kinaharibu malipo na kinathibitisha kwamba lengo lake lilikuwa si kupata radhi za Allah bali ni kutafuta sifa kwa watu.

*↓↓ 4-ADDUYUUTH(ASIE NA WIVU)*
Huyu ni mwanamume alieridhia mkewe achezewe na wanamume wengine au Mkewe aoneshe mapambo yake kwa wanamume wengine.
Na hili tunalishuhudia ktk jamii utakuta mwanamume anamruhusu mke atoke ndani ya nyumba akiwa amevaa mavazi yasiyostiri mwili hatimae anawapa mtihani wale wanamume barabarani.Asiekuwa na wivu haingii peponi.

*↓↓5-ALMUTAFAHHISH(MWENYE MANENO MACHAFU)*

Huyu ni Mwanamume ambae anapokorofishana na mkewe hukimbilia kutoa maneno machafu kama vile kumwita mke "Mbwa"Ngedere"nk.

*↓↓ 6-ALJAAHIL(MJINGA)*

Huyu ni Mwanamume asietaka kujifunza mambo ya dini yake,na kwa ajili hii utakuta hamudu kuilea familia ktk maadili anayoyaridhia Allah mtukufu.

*↓↓ 7-ALMUSRIFU.*
Huyu ni mwanamume mwenye kutumia pesa yake na vitu vingine kwa fujo khaswa pale anapopokea mshahara wake.
Israafu ktk matumizi ni haramu.

*↓↓ 8-ALMUSHRIK (MSHIRIKINA)*

Huyu ni mwanamume ambae alieiweka mbele shirki ktk mambo yake hata mtoto wake akiumwa MALARIA atampeleka kwa mganga wa kienyeji.
Huyu hafai kabisa kwa sababu anachokifanya ni kitu kizito na akifa bila ya kutubia atastahiki kuishi milele Motoni...

*_WANAUME TUJICHUNGE SANA KUWA NA TABIA HATARI MFANO WA HIZO APO JUU NA ZINGINE._*

Hiyo ya 6 haina mshiko kwani dini si muhimu katika maisha ya binadamu. Unatakiwa kuamini Mungu tu, dini has nothing to do na maisha ya mwanadamu. Labda nyongeza tu (9) iwe wanaume wa Dar.
 
Nipe mfano wa mtu maarufu,ambae wengi wanamjua hapa, asiye na Dini ila ni mcha Mungu.
 
Mbona povu sana? Kunywa maji ndio uje tuendelee kujibizana. Acha jazba sisiemu mkubwa we
Pole sana, wewe ni nani Cuf ama chadema mdogo, Mambo ya siasa, sifuatiliagi sana. Nitajie mambo ya michezo, andika Simba mkubwa wewe, ama Manchesta mkubwa wewe.
 
Back
Top Bottom