Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

hahahaha espy hata mm sipend kwakwel binafs unawaumiza tu hisia zao!
Kwakweli hata mimi hapana kwakweli. Hao wazee wao hawana matatizo? Je matatizo yao wanapeleka wapi?
Marriage shud be for two people who are matured enough and ready. Matatizo yenu myamalize wenyewe na Mungu wenu.
 
Namshukuru Mwenye enzi MUNGU wa kwangu ana sifa zote ulizozitaja, labda aamue kubadilika mbeleni japo sioni dalili
 
Safii,hujawahi kosea mkuu
 
Namshukuru Mwenye enzi MUNGU wa kwangu ana sifa zote ulizozitaja, labda aamue kubadilika mbeleni japo sioni dalili


na wewe mtimizie mahitaj yake kwa uaminifu na umjali!hawez kubadilika!
 
Na wakati naandika nilikuwa nakuchora akilini ujue maandishi hayo yakanijia.

How is your Saturday....?
Ila baby wewe,haya bana

Saturday yangu iko murua sana, thanks to God
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…