Aikimbia JamiiForums kwa makombora aliyopewa

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,662
20,416
Kule kwa wazenji kwenye blog moja (jina kapuni) nimekutana na post ya jamaa mmoja ambaye anasema ameamua kuachana na JF kwa kile alichoona ina 'post zenye maudhi'. Msome hapa chini:

kassem 15/02/2012 kwa 12:34 um ·
Kule Jamii foroum kumenishinda. Kumenishinda kwasababu ya kejeli zao kwa Waislamu na Wa-Zanzibari. Nyuso zao mbaya zimekosa hata kuona aibu kutukana watu wa Zanzibar. Kuendelea kubakia ni kuzidi kujiudhi kwa hiyo nikaamua kuachana nao kwanza sioni faida niipatayo. Juzi CUF walipokwenda Ikulu kukawa na picha ambayo kama nakumbuka vizuri kuna Samiha Suluhu na mfanyakazi wa Ikulu mwengine ambao wote wamevaa Hijab ehee Jamii Forum wamepata nini tena… Haya mahijabu ya nini Ikulu… mwengine kasema vyake almradi ni kejeli tu.

Jamani punguzeni ukali wa makombora, tunahitaji michango yao humu hao jamaa!
 
daaah mwambie arudi bwana jf kuna majukwaa mengi aje mmu tumpe raha za dunia na hijabu lake
 
Teh teh teh teh kwanza wao ndo wabaguzi wakubwa . Ndo maana wanachoma nyumba na biashara za watu kutoka bara . Wao wanahisi wanaonewa kwa kila kitu.
 
Teh teh teh teh kwanza wao ndo wabaguzi wakubwa . Ndo maana wanachoma nyumba na biashara za watu kutoka bara . Wao wanahisi wanaonewa kwa kila kitu.

Hapa umeongea nini ? Ni sawa na mtu anasema teremsha suruali kidogo ! Wewe ukaishusha yote !
 
Kule kwa wazenji kwenye blog moja (jina kapuni) nimekutana na post ya jamaa mmoja ambaye anasema ameamua kuachana na JF kwa kile alichoona ina 'post zenye maudhi'. Msome hapa chini:

Jamani punguzeni ukali wa makombora, tunahitaji michango yao humu hao jamaa!

Watu sampuli hiyo hawawezi kuwa ni michango ya maana. Achape mwendo na asirudi.
 
ni kweli, sisi wengine ndo hivo wavumilvu bt waislam wanabezwa noma.
Na kwa vile zenji tuko waislam wengi ndo tunachanganywa tn, kote kote.
Uzanzibar, uislam.com
 
ni kweli, sisi wengine ndo hivo wavumilvu bt waislam wanabezwa noma.
Na kwa vile zenji tuko waislam wengi ndo tunachanganywa tn, kote kote.
Uzanzibar, uislam.com

Mi sijawahi ona mkibezwa. Ni hoja tu za watu.
Penye wengi pana mengi.
Usitegee kupata kila mchango ukufurahishe.
 
Mi sijawahi ona mkibezwa. Ni hoja tu za watu.
Penye wengi pana mengi.
Usitegee kupata kila mchango ukufurahishe.
Ndio michango ya watu, wala sikatai na najua hasa km si kila mchango utatufurahisha. Ndo mana nkasema sie wengine tuna uvumilivu, wenye hasira na wenye roho ndogo ndo hao walioamua kusepa.
 
Back
Top Bottom