Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Reminder:
Ignorance and prejudice are fueling the spread of a preventable disease. World AIDS Day, 1 December is an opportunity for people worldwide to unite in the fight against HIV and AIDS.... It's up to you, me and us to stop the spread of HIV and end prejudice. ~worldaidsday.org, 2006
and its begin with you..Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani?
My Message to you is this...
A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of carelessness can shut down many dreamz!! It is AIDS day, play smart and safe. Flee from HIV/AIDS.
Thanks
Elli a.k.a Mumangu
Faiza bhana, unaonaje kwa leo tukadili kwanza na hili halafu hilo la Mengi tukalifulie uzi wake? Tafadhali sana nakuomba leo tu tumia busara please, tuendelee na hili, nakuomba sana. Hilo la Mengi tulifungulie uzi, inaonekana una point nyingi juu ya hilo, utatusaidia kukomesha hilo ila kwa sasa hebu tujikite na hili. Asante kwa kuwa mwelewaKuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba malillioni ya misaada ya AIDS.
Tujikumbushe.
Kuna wakati kipindi cha nyuma ililetwa habari JF kuwa Mengi alikomba malillioni ya misaada ya AIDS.
Tujikumbushe.
Naomba kuuliza watumia condom ambao wamepima na hawaathirika bado then wale ambao hamjapima HIV bado mpo mpo kwanza.
Je ukijua mimi mrembo sana unanitamani nimeathika utatumia condom na mimi?
Je kama huna uhakika utatumia condom na mimi?
Hakika nitakuja rock city kukufuta hayo machozi...ujue mie sipendi unavyolia?Naumia sana tena sana... eeeh Mola saidia familia yetu!
Ngoja niishie hapa.... Make machozi yananilenga!