Aibu ya UVCCM kwa taifa

Aibu ya UVCCM kwa taifa

Mbwa kala mbwa. Mbwa kufir*na hadharani ni kawaida yao
 
Hapo Takukuru watakwambia tunawaachia ccm wenyewe maana wana utaratibu wao wa kushughulikia hizi kesi zao

Hii nchi inasikitisha sana aisee, Na aliyesema hivi ni mtu alikuwa kanali sijui Brigadia wa Jeshi. Mambo mengine yanauma sana yaani na ndio vyanzo vya laana katika nchi.

Takukuru kile kitendo cha kuacha kuwakamata na kuwashtaki ccm kipindi cha uchaguzi 2020 Mlikosea sana.
 
🤣🤣🤣 kuna mdau amekunjia mfukoni hapo ni balaa
 
Back
Top Bottom