Aibu ya UVCCM kwa taifa

Aibu ya UVCCM kwa taifa

Hapo Takukuru watakwambia tunawaachia ccm wenyewe maana wana utaratibu wao wa kushughulikia hizi kesi zao

Hii nchi inasikitisha sana aisee, Na aliyesema hivi ni mtu alikuwa kanali sijui Brigadia wa Jeshi. Mambo mengine yanauma sana yaani na ndio vyanzo vya laana katika nchi.

Takukuru kile kitendo cha kuacha kuwakamata na kuwashtaki ccm kipindi cha uchaguzi 2020 Mlikosea sana.
🤣🤣🤣🤣
 
Ingekua vyama pinzani hapo mpaka sasa ungekuta wamekamatwa hata wasiohusika na press imefanyika
 
Tazameni matendo ya hovyo kwenye chaguzi zinazo endelea ndani ya uvccm.

Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa la watu waliostaarabika.

Takukuru fanyeni kazi yenu bila kuangaliana itikadi.View attachment 2421145
TAKOKURU ipi unaitaja?

CCM inaiba kura unategemea chaguzi zake za ndani zina weledi?
 
Serikali ya Tanzania mumetangaza Rushwa ni adui wa taifa lakini CCM wamekubali kuwa ni Halali wachukulueni hatua hawa mashetani ushahidi huu hapa
 
Back
Top Bottom